Naskia bado ni mwalimu mkuu wa Forest Hill Secondary School & High School.
Tupe expereince yako ya pale Forest enzi hizo na sasa,
Madarasa na ka airport ketu pale..........
Tutumie habari na matukio mbali mbali ya mji kasoro bahari kupitia barua pepe morogoromjiwetu@gmail.com