Pages

Sunday 1 April 2012

HIZI NI PICHA ZA HIVI KARIBUNI ZA BAADHI YA MAENEO MOROGORO.

SOKO KUU LA MOROGORO




MADIZINI MITAA YA MOROGORO 


Wana nchi wa Madiziniwakitengeneza kinywaji cha asili 


KILAKALA SHULE YA WASICHANA WENYE VIPAJI MAALUMU 



Je una maoni gani kuhusu hizi picha. Kwa upande wa maendelo ya mkoa wetu je unaona kuna maendeleo yeyote?

Picha zote kwa hisani ya mjengwablog.com

2 comments:

Anonymous said...

Maendeleo kwa kweli bado sana!!

Anonymous said...

yaani inatisha jamani,hata nchi zilizopigana vita tangu uhuru zimetuacha..