Pages

Thursday 8 March 2012

AFANDE SELE THE'KING AZUNGUMZIA ALONGA JUU YA MOROGORO.

Afande Sele The'King
---
Duh'wanandugu hasa wale 2liozaliwa miaka ya 70-80 Zaman kimtindo nakumbuka ilikuwa mgeni akitoka dar kuja moro anakuja na makot ya barid hata marehem mding wangu mzee msindi aliwah kwenda canada wkt nikiwa mdogo akaniletea zawad makot kibao kwa ajili ya barid la moro lkn leo mg kama dar ful joto"tabia nchi"2FANYE NINI WANANDUGU ILI MTO MOROGORO,KILAKALA,KIKUNDI,nk itiririke maji mwaka mzima kama zamani?oh'maskini morogoro mji uliozikwa vitovu vye2,GOD bles u my lovely Moro!.

*Je wewe una maoni gani kuhusu mambo haya?


Tutumie habari na matukio mbali mbali ya mji kasoro bahari kupitia barua pepe morogoromjiwetu@gmail.com

2 comments:

Kelkaf said...

Hali ni mbaya sana, kweli inabidi tuanze kulitilia sana mkazo swala la kutunza mazingira kwa sasa tena morogoro ingekuwa rahisi kwasababu kunataasisi nyingi tu ambazo kama zingeshirikiana na wananchi katika hili mambo yangebadilika taasisi kama S.U.A nk....Big up Afande, Big up Moro.

Anonymous said...

safi sana mawzo mazuri sana kamanda ..hii blog inabidi tuipige tafu ili tujue nini kinaendelea nyumbani ..please put more updates as much as you can and we will support you ..big uppppppppppppppppp