"Popote nitakapokwenda lazima nirudi hapa, Moro sifi na njaa hata mfukoni niwe sina chapaa, ninapokuwa safari, nikiwa kwenye treni, ama nimo ndani ya Gari, ninapofika karibu naiona Moro kwa mbaali, imepambwa na milima, maji yanatiririka utapenda kuyatazama, japo sio mengi kama siku za hapo nyuma, enzi baba mkwe wangu Mlanzi akikwa bado anasoma, Ooh 'ilikuwa noma, hata kama kiangazi mtoni unaweza kuzama, sasa hakuna tena, yote sababu wajingawajinga mlima wanachoma, na apia haki ya mama, kama unachoma mlima pumbaf kila ukihema, sababu hauna akili, huelewi hii milima ndio mali zetu za asili.."
AFANDE SELE.
Album: Mkuki Moyoni; 2002.
Song: Nikiwa Mbali
2 comments:
MOROGORO FAMILY GHALA LA CHAKULA HATA MH RAIS ANAJUA, LUV U MORO
Wadau,naminataka kuanzisha my blog itakayohusu Taasisi yetu ya masuala ya kijamii
Any idea please
Post a Comment