Pages

Monday, 26 March 2012

UJUMBE WA LEO.

Nyerere aliona mbali.. Hapo kwenye hilo gazeti la miaka mingi alishawai kusema kwamba katika nchi iliyo na, wananchi masikini na wageni matajiri kama selikali itaamua kuuza aridhi basi asilimia kubwa ya hiyo aridhi itamilikiwa na wageni.....


No comments: