Pages

Friday, 23 March 2012

WAFANYABIASHARA SOKONI MORO WAGOMA KWA KUPANDISHIWA KODI.

 Moja ya masoko yaliyofungwa kutokana na mgomo likiwa linalindwa.
 Wateja wakiwa wamezuiwa kuingia katika moja ya masoko ya manispaa.
"Soko limefungwa hakuna majadiliano," ndivyo alivyosema mlinzi (mwenye kanzu ya kahawia) akiwaambia wateja waliofika hapo kupata mahitaji yao.
---

WANANCHI wa Manispaa ya Morogoro wako kwenye wakati mgumu baada ya wafanyabiashara wa masoko yote ya manispaa hiyo kugoma kuendesha biashara kutokana na kupandishiwa kodi na halmashauri ya manispaa hiyo kwa pango kutoka sh. 5,000 hadi sh. 50,000.
  
PICHA NA DUNSTAN SHEKIDELE, GPL, MOROGORO

No comments: